Piga.0652180400
Chumba kimoja cha kulala ambacho ni master,jiko, ukumbi. Na ndan Kuna Min supermarket inajengwa . zipo nyumba Tisa sehem moja. Mazingira mazur, zinajitegemea maji na umeme. Kodi ni 200,000/= Kwa mwezi.
Habari, Hapo ni jirani na chuo cha uhasibu Kurasini? Nahitaji kumtafutia mdogo wng mahala pa kuishi anasoma chuo cha uhasibu. Nitumie picha zake za ndani pia.
Habari, Hapo ni jirani na chuo cha uhasibu Kurasini? Nahitaji kumtafutia mdogo wng mahala pa kuishi anasoma chuo cha uhasibu. Nitumie picha zake za ndani pia.