uncle dalali naweza pata nyumba mitaa ya Mbezi barabara ya Tangi bovu kuanzia mitaa hiyo mpaka SalaSala room 2 jiko sebule choo bafu kwa laki 2 unusu kwa mwezi?
Natafuta sana Chumba na sebule choo cha ndani. Bajeti yangu 100 mpaka 140.
Maeneo ya Kuanzia Lugalo, Tangi bovu, Tegeta kwa ndevu, Kunduchi.
Namba yangu 0752565852