Umesema limekuchomekea sio wewe kulichomekea, sasa hapo utalipaje? Ndiyo maana kwa hapa Bongo hasa nyakati za michakariko huwa napenda kutumia gari lenye ngao la chuma mbele. Akitokea mtu amejichanganya naondoa taa yake tu au namchanja chale kwenye bodi halafu natulia kumsikiliza..Mkuu kuna magari mengine yakikuchomeka barabarani inabidi uwe mpole tu usimame upishe...
Hebu fikiria unachomekewa na Porsche Cayene au X5 hivi, hapo unajua ukilichuna tu huo msala wake wa kurudishia rangi, unaweza kumpa dili Kaka Dalali akuuzie ile nyumba ya urithi ili ufanye compensation
Nyumba inapangishwa Mbezi afrikana!!!
# vyumba2, sebule, jiko, choo. #Kodi laki3.5
0752953860
instagram.com/uncledalali
Chumba, sebule, jiko, choo ! Laki2, Ipo mbezi beach goigi
Piga 0654913364
Nyumba ya kunduchi mtongani
Sh ngapi hyo