Nyumba zinapangishwa Dsm

Plot Agent

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
311
Reaction score
20
Nyumba zilizoshikana zinapangishwa Kunduchi Mtongani

√ Vyumba2 (masta1), sebule, jiko fitted, choo public.
Luku unajitegemea, maji yapo.
Bei laki4/mwezi- Miezi6

√ Vyumba2, sebule, choo public.
Luku unajitegemea, Maji yapo.
Bei laki3/mwezi-Miezi6

Wasiliana 0752953860
Wahi Mzigo ndiyo uko atua za mwisho kumalizika
 

Attachments

  • 1403429901521.jpg
    15.6 KB · Views: 724
kaka dalali mimi nahitaji nyumba maeneo ya tegeta kwa maana ya nyaishozi,namanga au kunduchi iwe na angalau vyumba vitatu na choo cha kujitegemea pamoja na luku bajeti yangu laki moja kwa mwezi waweza nisaidia kwa hilo?
 
kaka dalali mimi nahitaji nyumba maeneo ya tegeta kwa maana ya nyaishozi,namanga au kunduchi iwe na angalau vyumba vitatu na choo cha kujitegemea pamoja na luku bajeti yangu laki moja kwa mwezi waweza nisaidia kwa hilo?

Unaweza kupata ila si kwa bajeti ya laki moja
 
Nyumba ya kunduchi mtongani
 

Attachments

  • 1403435418998.jpg
    43.6 KB · Views: 606
  • 1403435435717.jpg
    68.6 KB · Views: 553
Bar inakodishwa mbezi tangibovu
√ Ipo mita 250 kutoka barabara ya lami (bagamoyo road)
√ Bei laki2/mwezi
√ cont: 0752953860
www.uncledalali.blogspot.com
 

Attachments

  • 1403465048828.jpg
    63.9 KB · Views: 477
  • 1403465071967.jpg
    81.7 KB · Views: 450
  • 1403465094313.jpg
    139.5 KB · Views: 460
  • 1403465111038.jpg
    112.5 KB · Views: 434
Nyumba inapangishwa Mbezi Afrikana

√ vyumba3(1masta), sebule, dinning, jiko, inward toilet(public).
√ Inajitegemea, maji yapo.
Bei laki4.5 -miezi6
√ 0752953860
 

Attachments

  • 1403591201999.jpg
    39 KB · Views: 409
  • 1403591276732.jpg
    15.6 KB · Views: 392
Nyumba zinapangishwa yombo kwaMama (dakika10 kutoka Tandika)
* vyumba2, sebule, jiko, choo.
* Inajitegemea kila kitu.
* Bei laki3/mwezi
* 0752953860
For more uncledalali.blogspot.com
 

Attachments

  • 1403698808314.jpg
    82.6 KB · Views: 391
  • 1403698847316.jpg
    73.3 KB · Views: 386
  • 1403698876369.jpg
    51.2 KB · Views: 393
  • 1403698899112.jpg
    36.6 KB · Views: 363
  • 1403698918731.jpg
    40.9 KB · Views: 367
  • 1403698966009.jpg
    126.9 KB · Views: 377
Chumba choo, sebule kinapangishwa Mbezi beach kwakomba.
Bei laki1.5/mwezi
call 0752953860
 

Attachments

  • 1403761180170.jpg
    56.4 KB · Views: 388
  • 1403761289460.jpg
    44.7 KB · Views: 379
Ukipata kama upande kama huo kwa bei iyo maeneo ya makumbusho, kinjitonyama nichek kwa hii namba 0717352787
 
Nyumba inapangishwa (compound) Kunduchi
Vyumba2 masta ipo moja, sebule, jiko, choo pabriki inward.
Luku inajitegemea
Bei laki3/mwezi
 
Nyumba inapangishwa (compound) Kunduchi
Vyumba2 masta ipo moja, sebule, jiko, choo pabriki inward.
Luku inajitegemea
Bei laki3/mwezi

Picha za nyumba
 

Attachments

  • 1403864339938.jpg
    44 KB · Views: 333
  • 1403864356381.jpg
    46.8 KB · Views: 311
  • 1403864380942.jpg
    18.4 KB · Views: 299
  • 1403864548597.jpg
    31.6 KB · Views: 291
  • 1403864583702.jpg
    20.3 KB · Views: 289
kaka dalali mimi nahitaji nyumba maeneo ya tegeta kwa maana ya nyaishozi,namanga au kunduchi iwe na angalau vyumba vitatu na choo cha kujitegemea pamoja na luku bajeti yangu laki moja kwa mwezi waweza nisaidia kwa hilo?
Laki moja kwa mwezi upate nyumba yenye vyumba vitatu tena Tegeta au Kunduchi?

Labda vyumba vya giza maji hakuna na dari la kuhesabu mbao....
 
Chumba, sebule, choo ndani, jiko. Luku unajitegemea
Kodi laki2.5/mwezi
Ipo Mbezi beach samaki

√call 0752953860

Follow me on instagram instagram.com/uncledalali
 

Attachments

  • 1403973500896.jpg
    42.9 KB · Views: 320
  • 1403973573622.jpg
    60.5 KB · Views: 311
  • 1403973594204.jpg
    70.7 KB · Views: 314
Nyumba inapangishwa mbezi samaki

Vyumba3, kimoja masta
sebule, jiko, choo pabriki,
parking ipo, ndani ya fensi.
kodi laki4.5/mwezi-miezi6
//0752953860
instagram.com/uncledalali
 

Attachments

  • 1404012990724.jpg
    59.8 KB · Views: 315
  • 1404013013650.jpg
    39.8 KB · Views: 310
  • 1404013043618.jpg
    47.1 KB · Views: 298
  • 1404013061515.jpg
    40.2 KB · Views: 275
  • 1404013081200.jpg
    44.9 KB · Views: 260
  • 1404013105961.jpg
    41.9 KB · Views: 253
Mkuu ndo nnaishi hapo
Hilo gari nalikumbuka dereva wake ni mstaarabu sana, kuna siku nilikuwa naingia njia kuu, wengine wote walijifanya wana haraka lakini jamaa alinipa nafasi, sikumbuki eneo hasa lakini ni hii barabara yetu ya Bagamoyo... Tuko pamoja mkuu
 
Kwa kuwa alikuona na wewe unaendesha Swift kama yeye...:A S wink:

Hilo gari nalikumbuka dereva wake ni mstaarabu sana, kuna siku nilikuwa nainigia njia kuu, wengine wote walijifanya wana haraka lakini jamaa alinipa nafasi, sikumbuki eneo hasa lakini ni hii barabara yetu ya Bagamoyo... Tuko pamoja mkuu
 
Kwa kuwa alikuona na wewe unaendesha Swift kama yeye...:A S wink:
Hahahahaaa...mkuu ustaarabu barabarani haungalii aina ya gari ulilonalo dhidi ya mwenzako, bali thamani ya maisha yako na wengine pia...
 
Hahahahaaa...mkuu ustaarabu barabarani haungalii aina ya gari ulilonalo dhidi ya mwenzako, bali thamani ya maisha yako na wengine pia...

Mkuu kuna magari mengine yakikuchomeka barabarani inabidi uwe mpole tu usimame upishe...

Hebu fikiria unachomekewa na Porsche Cayene au X5 hivi, hapo unajua ukilichuna tu huo msala wake wa kurudishia rangi, unaweza kumpa dili Kaka Dalali akuuzie ile nyumba ya urithi ili ufanye compensation
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…