Dalali Mkombozi
Member
- Jun 26, 2015
- 56
- 21
Duuh ina choo cha shimo duuh hizo mbezi beach balaa mbona kuna nyumba za kiswazi?Chumba Masta (Chumba na Choo).
Bei 120,000/Mwezi, kodi ya Miezi6.
Ipo MbeziBeach Afrikana
Wasiliana: 0713226191
View attachment 336114View attachment 336118
Huko chumba shilingi ngapiGuys kama una pesa nenda kaishi Chanika huko Ushuani nyumba mbovu kama hiyo hata Tabora haipo.
Huko chumba shilingi ngapi
Hiyo utapata.. Lakini Kibaha au Kibamba..Wadau mimi nahitaji nyumba ya kupanga ila maeneo ya kijitonyama, makumbusho au mwenge.
Nyumba iwe na sifa zifuatazo
1. Vyumba viwili vya kulala
2. Sebule
3. Jiko
4. Choo
5. Maji ya dawasco
NB:BUDGET YANGU NI LAKI MBILI TU(200, 000/=)
bei yako ndogo sana .. wakati vigezo ni vikubwa.. hiyo bei hata kijijini kwetu hupatiKwanini kibamba mkuu serio???