Inapangishwa nyumba nzima ina vyumba 3 vya kulala sitting room na dining na Jiko. Haina fensi. Kodi laki na nusu Kwa mwezi inatakiwa kodi ya miezi 6. Kwa maswali na kuiona nicheki 0784791233.
Kimara Milenium ipo karibu na Kimara Bonyokwa zimepakana na ukifika Kimara mwisho zinapopakia gari za Bonyokwa au kwakichwa ndipo zilipo za Milenium ni Noah nauli 500 na ni km 2.5 toka Kimara mwisho. Ila Picha sijapiga ningeweka na Picha ya nyumba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.