Nyumba ya kupangisha

21 JuLy

Senior Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
131
Reaction score
265
Habari wakuu,

I just need your help, nilikua natafuta nyumba ya kupanga.

Location: Kuanzia kimara kona hadi korogwe upande wa kulia ukiwa unatokea posta.

Budget: TSh 200,000 to 250,000

Specification:
a/. Vyumba viwili(kimoja master), Sebule na Jiko.
b/. Luku ya kujitegemea
C/. Maji yawepo ndani
d/. Fanced house

Time: mahitaji yake ni november hadi december sio mbaya. Pia kodi nitalipa kuanzia 6months.

Contact: 0620109994

Asanteni sana.
 
Wadau.....yeyote mwenye informations, nakaribisha
 
Umeshawapa hadi bajeti lakini jiandae kuambiwa ongeza ongeza walau ifike 300k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…