K kilundilo Member Joined Aug 14, 2014 Posts 54 Reaction score 6 Dec 3, 2015 #1 Natafuta nyumba ya kupanga iwe na Viyumba viwili yani chumba sebule,, choo cha kujitegemea,, na iwe ndani ya uzio,,, maeneo ya (Temboni, Suka, kimara, kologwe, bucha,) Dar es salaam,,
Natafuta nyumba ya kupanga iwe na Viyumba viwili yani chumba sebule,, choo cha kujitegemea,, na iwe ndani ya uzio,,, maeneo ya (Temboni, Suka, kimara, kologwe, bucha,) Dar es salaam,,
M Msenembo K Member Joined Aug 9, 2015 Posts 10 Reaction score 3 Dec 3, 2015 #2 Ipo nyumba nzima inapangishwa. Mbezi mwisho. Bei laki 250 kwa mwezi. Wasiliana 0718143636/ 0757143636
Ipo nyumba nzima inapangishwa. Mbezi mwisho. Bei laki 250 kwa mwezi. Wasiliana 0718143636/ 0757143636