D dalu Member Joined Dec 12, 2011 Posts 24 Reaction score 4 Apr 21, 2012 #1 wakuu natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni iwe karibu na barabara iendayo mji mwema.sifa za nyumba iwe chumba kimoja cha kulala,sitting room,jiko,choo na iwe ndani ya fence.naomba kuwasilisha.
wakuu natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni iwe karibu na barabara iendayo mji mwema.sifa za nyumba iwe chumba kimoja cha kulala,sitting room,jiko,choo na iwe ndani ya fence.naomba kuwasilisha.
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,200 Apr 21, 2012 #2 Toa offer yako ili tujue standard ya nyumba unayohitaji mkuu.
D dalu Member Joined Dec 12, 2011 Posts 24 Reaction score 4 Apr 21, 2012 Thread starter #3 Jsaudi said: Toa offer yako ili tujue standard ya nyumba unayohitaji mkuu. Click to expand... laki moja hadi laki moja na themanini mkuu
Jsaudi said: Toa offer yako ili tujue standard ya nyumba unayohitaji mkuu. Click to expand... laki moja hadi laki moja na themanini mkuu