Nyumba ya kupanga

Nyumba ya kupanga

queenlove

Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
9
Reaction score
6
Habari zenu wapendwa nahitaji chumba na sebule choo ndani na maji maeneo ya kipawa hadi banana au njiapanda segerea hadi tabata bei isizidi 70000kwa mwezi.
 
Ngoja wakiamka watakupatia. Ila kabla hawajaja edit post yako, "wapedwa" andika "wapendwa" na "seble" andika "sebule" "nahitaji sio naitaji"

Hiyo laki saba ni kwa miezi mingapi. Maana mara nyingi kodi huwa ukitajiwa unatajiwa gharama ya mwezi mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom