Habari wana Jf.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo
-Kimara
-Mbezi zote
-Africana mpaka bunju
-Goba
Budget yangu maximum ni 250,000/=
Mwenye nyumba maeneo hayo aje Pm yutajenge.
Habari wana Jf.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo
-Kimara
-Mbezi zote
-Africana mpaka bunju
-Goba
Budget yangu maximum ni 250,000/=
Mwenye nyumba maeneo hayo aje Pm yutajenge.