mwalidebe JF-Expert Member Joined Mar 27, 2016 Posts 426 Reaction score 251 Apr 16, 2016 #1 Naweza pata nyumba ya kupanga maeneo ya chang'ombe keko ilala buguruni kigambon mwenge sinza kijitonyama au eneo ambalo naweza fika posta kwa urahisi
Naweza pata nyumba ya kupanga maeneo ya chang'ombe keko ilala buguruni kigambon mwenge sinza kijitonyama au eneo ambalo naweza fika posta kwa urahisi
Dadio JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 359 Reaction score 42 Apr 16, 2016 #2 Chumba na sebule choo chake na jiko lake maeneo ya mwenge dakika 5 tokea mliman city. Bei 180,000/ kwa mwezi x 12. Hakuna dalali. Ni sehemu nzur kwa anayeanza maisha. 0713401812
Chumba na sebule choo chake na jiko lake maeneo ya mwenge dakika 5 tokea mliman city. Bei 180,000/ kwa mwezi x 12. Hakuna dalali. Ni sehemu nzur kwa anayeanza maisha. 0713401812
Tunzo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 4,125 Reaction score 2,449 Apr 17, 2016 #3 mwalidebe said: Naweza pata nyumba ya kupanga maeneo ya chang'ombe keko ilala buguruni kigambon mwenge sinza kijitonyama au eneo ambalo naweza fika posta kwa urahisi Click to expand... Mkuu kwa sinza, mwenge, knyama na mbezi nichek kwa 0713415537
mwalidebe said: Naweza pata nyumba ya kupanga maeneo ya chang'ombe keko ilala buguruni kigambon mwenge sinza kijitonyama au eneo ambalo naweza fika posta kwa urahisi Click to expand... Mkuu kwa sinza, mwenge, knyama na mbezi nichek kwa 0713415537