Wadau!
Jamaa yangu (foreign national) anahamia Mtwara starting beginning of February. Anahitaji nyumba ya kupanga (ideally 2-3 Brm), self contained iwe katika secured location. Ingempendeza zaidi ikiwa maeneo karibu na ufukweni.
Kwa mwenye contacts Mtwara tafadhali tuwasiliane.
Asante