Nyumba ya kupanga Kimara

Craig Natson

Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
80
Reaction score
49
Nyumba ipo maduka matatu umbali mfupi kitokea kimara mwisho.

-chumba self na sebule
-Ina tiles, madirisha alminium na iko katika ubora wa hali nzuri kabisa
-Ina fensi, paking kubwa na ndani ya fensi kuna wapangaji 2 mgeni atakua wa3
-huduma zote muhimu zipo karibu.
-pia kuna choo cha public

BEI 100,000/=

Mawasiliano 0655366915
 
maji vipi maana nasikia kimara shida kubwa n maji
 
vyumba 2, choo cha public ,tiles.ndan ya fensi...luku yake na maji ndan vinaendaaje mkuu
 
Mpaka mwendokasi kuna umbali wa km ngap??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…