Mzee wa Torano
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 519
- 700
Mkuu umekumbwa na mafuriko nini?????Husika na kichwa cha habari
Natafuta NYUMBA ya vyumba viwili, sebule ,choo na jiko
Au chumba sebule ,choo na jiko
Haraka sana ,inahitajika maeneo ya ubungo
Mwenye nayo ani PM ,tufanye biashara
Hapana mkuu,ila natumia muda huu kupata NYUMBA, napoishi muda umeisha muhusika anataka NYUMBA yakeMkuu umekumbwa na mafuriko nini?????
Ila huu ndo muda mzuri wa kutafuta nyumba ya kupanga,sababu ndo ukweli utauona kama kuna maji yanajaa au lah.
Ingekua rahisi hivyo, kila mtu angekua na nyumba mjini.mkuu kwa nini usijenge ya kwako binafsi????πππ
Kimara mwisho,km NYUMBA nzuri,bei nzuri nakaaKimara utaishi, kama upo interested na kimara mwisho sema upate nyumba ya maana
Hii nayo tafuta nataka akae binti yakomkuu kwa nini usijenge ya kwako binafsi????πππ