Elijah JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 1,663 Reaction score 424 Dec 25, 2012 #1 inahitajika nyumba ya kupanga dar,maeneo ya kinyerezi,ukonga,kurasini au segerea,iwe na maji,ndani ya fensi,hata kama haina maji,basi iwe na tank la kuhifadhia maji,vyumba vitatu.Aksanteni sana
inahitajika nyumba ya kupanga dar,maeneo ya kinyerezi,ukonga,kurasini au segerea,iwe na maji,ndani ya fensi,hata kama haina maji,basi iwe na tank la kuhifadhia maji,vyumba vitatu.Aksanteni sana
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Dec 25, 2012 #2 Kuna nyumba tabata chang'ombe ipo mita chache kutoka barabarani ila haina maji wala fensi wala tank la maji ila sehemu ya parking ya magar ipo.
Kuna nyumba tabata chang'ombe ipo mita chache kutoka barabarani ila haina maji wala fensi wala tank la maji ila sehemu ya parking ya magar ipo.
Elijah JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 1,663 Reaction score 424 Dec 25, 2012 Thread starter #3 thank u mkuu,ingekuwa na fensi angalau lingewekwa tank hata chini,si unajua maji ilivyo issue prakatatumba said: Kuna nyumba tabata chang'ombe ipo mita chache kutoka barabarani ila haina maji wala fensi wala tank la maji ila sehemu ya parking ya magar ipo. Click to expand...
thank u mkuu,ingekuwa na fensi angalau lingewekwa tank hata chini,si unajua maji ilivyo issue prakatatumba said: Kuna nyumba tabata chang'ombe ipo mita chache kutoka barabarani ila haina maji wala fensi wala tank la maji ila sehemu ya parking ya magar ipo. Click to expand...
M mwasha Member Joined Nov 5, 2008 Posts 30 Reaction score 16 Dec 25, 2012 #4 Iko Mbezi Mwisho stand mpya ya magufuli, tank lipo parking na ni mpya
Madikizela JF-Expert Member Joined Jul 4, 2009 Posts 683 Reaction score 455 Dec 25, 2012 #5 Kinyerezi NSSF tangi la maji lipo
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,481 Reaction score 8,592 Dec 25, 2012 #6 Ipo jet lumo, nyuma ya airport.. Ina maji, na ipo ndani ya fence ya kupaki 4 cars... Bei laki 3 kwa mwezi.. Kodi miezi 6
Ipo jet lumo, nyuma ya airport.. Ina maji, na ipo ndani ya fence ya kupaki 4 cars... Bei laki 3 kwa mwezi.. Kodi miezi 6