H haka Member Joined Jan 17, 2013 Posts 7 Reaction score 5 Feb 17, 2014 #1 Habari zenu wakuu, Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya magomeni au upanga.Budget yangu ni sh 200,000/=.Naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kuipata hiyo nyumba. Mbarikiwe.
Habari zenu wakuu, Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya magomeni au upanga.Budget yangu ni sh 200,000/=.Naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kuipata hiyo nyumba. Mbarikiwe.
M mbeshere Member Joined Nov 15, 2010 Posts 64 Reaction score 8 Feb 17, 2014 #2 vyumba vingapi mi na chumba 1-self,sebule na jiko lake ndani kwa ndani- eneo Mabibo hakuna dalali nicheki fmbeshere@gmail.com
vyumba vingapi mi na chumba 1-self,sebule na jiko lake ndani kwa ndani- eneo Mabibo hakuna dalali nicheki fmbeshere@gmail.com
H haka Member Joined Jan 17, 2013 Posts 7 Reaction score 5 Feb 17, 2014 Thread starter #3 Asante, napendelea sana vyumba viwili mkuu. Vp mazingira yakoje? Maji yapo?