TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,303
Nunua mkuu
Iko Bwiru Mwanza.. wapo wahitaji humu, utawapa!
Haina mauza uza kweli usiku?Ndonishainunua hivyo nasasa naipangisha
Haina mauza uza kweli usiku?
At a picha hutaki kuweka mkuu?Habari zenu wakuu,kwa mwenye uhitaji wa nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili na sebure ambapo kimoja wapo ni master pia inajiko na choo cha nje ipo ndani ya uzio maji na umeme vipo bei kwa mwezi ni lakimbili na unalipia miezi sita kwaatakaehitaji karibu pm
At a picha hutaki kuweka mkuu?