Nahtaj i nyumba ya kupanga maeneo ya upanga au posta au maeneo ya karibu na town kama kijitonyama kurudi nyuma. Iwe na vyumba viwili au zaid iwe na choo seating room na kitchen hata zikipatikana.za nhc itakua vizuri bajeti 400,000-550,000 kwa mwezi
[h=2][/h]Nahtaj i nyumba ya kupanga maeneo ya upanga au posta au maeneo ya karibu na town kama kijitonyama kurudi nyuma. Iwe na vyumba viwili au zaid iwe na choo seating room na kitchen hata zikipatikana.za nhc itakua vizuri bajeti 400,000-550,000 kwa mwezi
Nyumba ipo Ali maua barabarani, fuata barabara ya kutoka sayansi na teknolojia.
Masterbedroom ensuite, 2 bedrooms, modern kitchen, living room, parking for 2 cars
Bei laki 4 unusu, ni PM
Nyumba ipo Ali maua barabarani, fuata barabara ya kutoka sayansi na teknolojia.
Masterbedroom ensuite, 2 bedrooms, modern kitchen, living room, parking for 2 cars
Bei laki 4 unusu, ni PM