MKUDE SIMBA JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 305 Reaction score 168 Nov 2, 2018 #1 Nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala, jiko sebule, fensi, huduma ya maji ya kuaminika na ya kujitegemea umeme inahitajika maeneo ya njiro au moshono, budget laki 2.5. hapana madalali. Inbox hapa jamii forums kwa mwenye nayo.
Nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala, jiko sebule, fensi, huduma ya maji ya kuaminika na ya kujitegemea umeme inahitajika maeneo ya njiro au moshono, budget laki 2.5. hapana madalali. Inbox hapa jamii forums kwa mwenye nayo.
Mama Debora JF-Expert Member Joined Aug 30, 2018 Posts 1,481 Reaction score 2,608 Nov 2, 2018 #2 Kaka una mke... Kama una mke nipe namba yake nimuunge na mume wangu... Mume wangu anapenda kuingia mikataba na wanawake sababu huwa waaminifu. Tuna nyumba Sanawari mpangaji amehama juzi tu. Tunatafuta mpangaji...
Kaka una mke... Kama una mke nipe namba yake nimuunge na mume wangu... Mume wangu anapenda kuingia mikataba na wanawake sababu huwa waaminifu. Tuna nyumba Sanawari mpangaji amehama juzi tu. Tunatafuta mpangaji...
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,561 Reaction score 16,339 Nov 2, 2018 #3 Mama Debora said: Kaka una mke... Kama una mke nipe namba yake nimuunge na mume wangu... Mume wangu anapenda kuingia mikataba na wanawake sababu huwa waaminifu. Tuna nyumba Sanawari mpangaji amehama juzi tu. Tunatafuta mpangaji... Click to expand... πππππππππππππππ
Mama Debora said: Kaka una mke... Kama una mke nipe namba yake nimuunge na mume wangu... Mume wangu anapenda kuingia mikataba na wanawake sababu huwa waaminifu. Tuna nyumba Sanawari mpangaji amehama juzi tu. Tunatafuta mpangaji... Click to expand... πππππππππππππππ
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,210 Reaction score 37,832 Nov 2, 2018 #4 Mama Debora said: Kaka una mke... Kama una mke nipe namba yake nimuunge na mume wangu... Mume wangu anapenda kuingia mikataba na wanawake sababu huwa waaminifu. Tuna nyumba Sanawari mpangaji amehama juzi tu. Tunatafuta mpangaji... Click to expand... Masihara haya.
Mama Debora said: Kaka una mke... Kama una mke nipe namba yake nimuunge na mume wangu... Mume wangu anapenda kuingia mikataba na wanawake sababu huwa waaminifu. Tuna nyumba Sanawari mpangaji amehama juzi tu. Tunatafuta mpangaji... Click to expand... Masihara haya.
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,073 Reaction score 47,007 Nov 2, 2018 #5 mama debo bana
MKUDE SIMBA JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 305 Reaction score 168 Nov 2, 2018 Thread starter #6 Mama Debora said: Kaka una mke... Kama una mke nipe namba yake nimuunge na mume wangu... Mume wangu anapenda kuingia mikataba na wanawake sababu huwa waaminifu. Tuna nyumba Sanawari mpangaji amehama juzi tu. Tunatafuta mpangaji... Click to expand... sawa mama Debora, naomba namba yako
Mama Debora said: Kaka una mke... Kama una mke nipe namba yake nimuunge na mume wangu... Mume wangu anapenda kuingia mikataba na wanawake sababu huwa waaminifu. Tuna nyumba Sanawari mpangaji amehama juzi tu. Tunatafuta mpangaji... Click to expand... sawa mama Debora, naomba namba yako