Iwe na vyumba viwili vya kulala na sebule.bei inategemea na ubora wa nyumba
Mbona ujasema kuhusu maji,maana kwa matatizo ya maji nadhani Arusha wanaongoza kwa TZIwe na vyumba viwili vya kulala na sebule.bei inategemea na ubora wa nyumba
Ni pm nikupe nyumba
Karibu cheka ung'atwe unga ltd; ni pm kama kweli unataka nyuma
Kuna nyumba USA River karibu na Kituo cha Police USA River kama kuna anayetaka kupangisha apige simu 0752488588 dalali hahitajiki,nyumba Ina furniture ndani bei nzuri ni self contained master bed room na two roomsNime kupm mkuu na Mimi naomba niombe lift kwenye hili tangazo mi nataka double ila iwe self container