Nyumba Ya Kununua

Nyumba Ya Kununua

Dodo18

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
315
Reaction score
93
Nyumba ya kununua inahitajika budget ni 70 to 80 million mwisho iwe maeneo ya mwenge, survey, sinza, ubungo, kijitonyama na iwe na documents zote. Ahsanteni
 
ingekuwa ene lingine eg uwanja wa ndege, vingunguti, gmboto ungepata!
 
Ahsante mkuu ila pendekezo ni sehemu ambazo nimezitaja..
 
Taratibu kaka mwananyamala unapata nyumba ya bei hyo ila nyumba nyingi za mwananyamala zinahitaj marekebisho makubwa kuwa nyumba ya kisasa au uvunje ujenge nyingine kwa limit ya eneo uliloweka ila maeneo mengine unapata nyumba ambayo matengenezo siyo makubwa sana kabala ya kuhamia
 
Ameir.nyumba ipo tabata kinyerezi vp utaiweza ni yakumalizia.mbele ghorofa nyuma ni nyumba ya kawaida sababu palikua na mwinuko kidogo
 
Attachments

  • 1412290376306.jpg
    1412290376306.jpg
    60.7 KB · Views: 212
  • 1412290519870.jpg
    1412290519870.jpg
    24.9 KB · Views: 204
Nyumba ya kununua inahitajika budget ni 70 to 80 million mwisho iwe maeneo ya mwenge, survey, sinza, ubungo, kijitonyama na iwe na documents zote. Ahsanteni

...pita pita kwenye mabenki pia kuna watu wana nyumba nzuri wameshindwa kulipa mikopo, unaweza pata nyumba nzuri sana kwa bei ya benki....
 
Na ndicho nilichokua nakifikiria ila sijui pakuanzia niende straight kwenye mabenki nikaulize au si wanatoaga matangazo kama kuna nyumba ziko mnadani?
 
Ameir.nyumba ipo tabata kinyerezi vp utaiweza ni yakumalizia.mbele ghorofa nyuma ni nyumba ya kawaida sababu palikua na mwinuko kidogo

Ahsante kaka ila nitashindwa kuimalizia najua itanicost sana na hata hivto tabata sijapapendelea
 
...pita pita kwenye mabenki pia kuna watu wana nyumba nzuri wameshindwa kulipa mikopo, unaweza pata nyumba nzuri sana kwa bei ya benki....

Hii idea nimeipenda ila sijui pakuanzia mi navyojua si wanatoa matangazo au niende straight benki?
 
..unachotakiwa kufanya ni kwenda kwa loan officers wa benki kubwakubwa,waulize kuhusu defaulters na kuwa unataka kununua hizo nyumba zao. hii inatakiwa kuwa a friendly talk na sio official talk ili akupe muongozo. kisha anaweza kukupa nyumba au akakuunganisha na mdaiwa ukakubaliana nae umlipie kimeo chake akupe hati basi unamalizana nao...
 
njoo tabata,upate nyumba hii
 
Attachments

  • 2014-08-31 12.34.39.jpg
    2014-08-31 12.34.39.jpg
    387.8 KB · Views: 177
  • 2014-08-31 12.32.31.jpg
    2014-08-31 12.32.31.jpg
    335.9 KB · Views: 174
Na ndicho nilichokua nakifikiria ila sijui pakuanzia niende straight kwenye mabenki nikaulize au si wanatoaga matangazo kama kuna nyumba ziko mnadani?

Kuwa makini na nyumba za benki. Kuna ndugu yangu alinunua nyumba kutoka CRDB toka 2005 mpaka leo hajapata hiyo nyumba ni makesi tuu mahakamani.. It is not the best option..
 
Thank u for the advice mkuu, I'l try to keep that in mind..
 
Mkuu kuna nyumba ipo magomeni mapipa mtaa wa magomeni,unatazama town ile bila shaka location iz good ipo karibu na kituo cha jangwani,upepo wa bahari wote unaupata ni mil 85
 
Dah ahsante mkuu ila magomeni sijapapenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom