Kiongozi ukifanikiwa na mie nishtue...nahitaji pia,ikiwa forest au block T itapendeza zaidi...WanaJF, Nahitaji nyumba ya kununua Mbeya mjini kwa mtu yeyote anayefahamu nyumba inayouzwa Mbeya tuwasiliane through PM.Iwe nyumba walau yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule n.k

Kiongozi ukifanikiwa na mie nishtue...nahitaji pia,ikiwa forest au block T itapendeza zaidi...
WanaJF, Nahitaji nyumba ya kununua Mbeya mjini kwa mtu yeyote anayefahamu nyumba inayouzwa Mbeya tuwasiliane through PM.Iwe nyumba walau yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule n.k
unahitaji maeneo gan mkuu?
Mkuu ikiwa maeneo ya forest zote mbili, ilomba, block T na maeneo mengineo ndani ya Jiji.Ili mradi isiwe mbali sana na mji.
copy that mkuu. Nitakujuza soon