Kama kichwa cha habari kilivyoainisha inatakiwa nyumba ya kisasa yenye hati ..nasisitiza tena 'Hati'... iliyo sehemu inayofikika bila usumbufu katika majira yote ya mwaka na pia huduma muhimu (Maji+Umeme) zisiwe tatizo..Offer isizidi 60 M! Kwa anayekidhi vigezo tajwa anipm tufanye biashara baada ya uhakiki! Pia waweza nipata kupitia 0688228771..