Y yassirr New Member Joined Nov 5, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Dec 28, 2019 #1 wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu, Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa sita. Natafuta Nyumba ya kupanga 2 Bedrooms ikiwa master room ni vyema zaidi, Sitting room na jiko. Kama itakuwa ngumu kupata basi walau 1 master bedroom, sitting room na jiko. Ningependa maeneo ya Stone Town, Malindi, Mlandege na Vikokotoni kwa kifupi Wilaya ya Mjini Mwenye taarifa tafadhali ni PM...... Naomba kuwasilisha Sent using Jamii Forums mobile app
wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu, Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa sita. Natafuta Nyumba ya kupanga 2 Bedrooms ikiwa master room ni vyema zaidi, Sitting room na jiko. Kama itakuwa ngumu kupata basi walau 1 master bedroom, sitting room na jiko. Ningependa maeneo ya Stone Town, Malindi, Mlandege na Vikokotoni kwa kifupi Wilaya ya Mjini Mwenye taarifa tafadhali ni PM...... Naomba kuwasilisha Sent using Jamii Forums mobile app
Abuu Abdurahman JF-Expert Member Joined May 9, 2017 Posts 1,446 Reaction score 1,813 Dec 29, 2019 #2 ZoomTanzania Sent using Jamii Forums mobile app
Man Mvua JF-Expert Member Joined Apr 12, 2016 Posts 2,179 Reaction score 3,525 Dec 29, 2019 #3 Kuna nyumba ipo mchina mwanzo ambayo itakuwa wazi kipindi hicho. Sent using Jamii Forums mobile app