Nyumba ya kuishi ya kununua inahitajika vyumba 3 vya kulala iwe na sitting room,bafu,choo,jiko na store ndani,bei isizidi 20m,maeneo ya Ubungo mpaka Kibaha(Kongowe) iwe na umeme,ikiwa na maji itapendeza zaidi.Ukiwa nayo ni pm.
Nyumba ya kuishi ya kununua inahitajika vyumba 3 vya kulala iwe na sitting room,bafu,choo,jiko na store ndani,bei isizidi 20m,maeneo ya kimara mpaka Kibamba iwe na umeme,ikiwa na maji itapendeza zaidi.Ukiwa nayo ni pm.