Nyumba ya kisasa inauzwa

Nyumba ya kisasa inauzwa

Dr-John

Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
8
Reaction score
0
LOCATION: BOKO/BASIHAYA
PLOT SIZE: 925 SQUARE METRES
Ina vyumba vitatu kimoja master bedroom yenye balcon, ina sebule kubwa, dinning room, jiko la ndani, public toilet na bafu ya ndani.
Nyumba ndo kwa nyuma ambayo pia ina choo, bafu na chumba kimoja. Nafasi kubwa kwa nyuma na nafasi kubwa mbele.
Mbele pia kuna jumba kubwa kwa ajili ya kuhifadhiwa magari matatu
Bei ni milion 180 za Kitanzania na zinaweza lipwa kwa installation zisizozidi 3 ndani ya miezi 3.
Sababu ya kuuza: Nataka kumalizia nyumba yangu nyingine.

Kwa maelezo zaidi piga namba 0764126136.
Dalali haitajiki.
 

Attachments

  • mpaya1.jpg
    mpaya1.jpg
    97.6 KB · Views: 215
  • mpay4.jpg
    mpay4.jpg
    241.1 KB · Views: 205
  • Photo0019.jpg
    Photo0019.jpg
    283.4 KB · Views: 190
  • Photo0022.jpg
    Photo0022.jpg
    226.8 KB · Views: 190
Picha! Picha! Picha! Hata simu za mchina zinapiga picha nzuri tu ambazo unaweza kuziweka humu.
 
Mtitima jr....upo huku jf? sikujua bwana.....
 
mi ni dalali na nina mteja wa kununua hiyo nyumba kama vp ni pm
 
Unaposema nyumba ya kisasa mkuu halafu nikiangalia na style yenyewe ya ujenzi iliyotumika it goes a long way as far back as 1990's. Already 2 decades going 3 now. Are you still sure kwamba ni nyumba ya kisasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom