Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Nimekusoma YM ila kwa kusema unayofikiria wewe utafanya watu wa wawe more interested.Mi mwenyewe natamani sana kujua bei ili nijue kama ni saizi yangu au la.cjaitaja bei kwa sababu bei ni maelewano na ndio maana nimetoa contact zangu ili kwa atakayehitaji kujua bei au chochote kuhusiana na hiyo nyumba awasiliane nami. @Lizzy
Nimekusoma YM ila kwa kusema unayofikiria wewe utafanya watu wa wawe more interested.Mi mwenyewe natamani sana kujua bei ili nijue kama ni saizi yangu au la.
namba ya simu huioni hapo
Nimekusoma YM ila kwa kusema unayofikiria wewe utafanya watu wa wawe more interested.Mi mwenyewe natamani sana kujua bei ili nijue kama ni saizi yangu au la.
samhani...nilifikiri nyumba ya kisiasa...kumbe ya kisasa....samahani bwana mkubwa
Bei ya nyumba hiyo ni sh. 400,000 kwa mwezi.
Siunaona sasa nimejua sio saizi yangu bila hata kukisumbua. ASANTE.
Siunaona sasa nimejua sio saizi yangu bila hata kukisumbua. ASANTE.