unawaonaje watumiaje wa jf? unawaona watumiaje wa jf ni hohe hohe eeh?? acha dharau wa fallaKwa hapa JF kupata mteja sio rahisi sana sana utaambulia dalali
Basi mi kanidanganya,Nimempigia kasema kodi ni milioni 7 kwa mwezi
Basi mi kanidanganya,
maana ninemsikia kwamba inapangishwa kwa dollar, na ni US$ 4,000 kwa mwezi!
Nimempigia kasema kodi ni milioni 7 kwa mwezi