ricostrong
Member
- Nov 15, 2016
- 43
- 6
Heee aiseeePicha haijitoshelezi mkuu......ni sawa na kuuza mbuzi na kudisplay kwato tu........
ongeza taswira........
Picha haijitoshelezi mkuu......ni sawa na kuuza mbuzi na kudisplay kwato tu........
ongeza taswira........
Bei ya mwisho kiasi gani ?ndani ina uwezo wa kuhifadhi magari mangapi na ya ukubwa gani?Nyumba imejengwa kisasa ina
Mastr bedroom 1
Single rooms 2
Sitting room kubwa ya kisasa
Dinning room
Jiko&store
Public toilet 2
Full tilest
Umeme upo
Nyumba ina fensi
0656 698232
Eneo la kiwanja 26/24
Chanika mjinChanika kubwa ni wp uko?
Njoo uione ndo tuzungumzee mkuu maswala ya bei na vtu nyngnBei ya mwisho kiasi gani ?ndani ina uwezo wa kuhifadhi magari mangapi na ya ukubwa gani?
Msumbiji?Chanika mjin
Mbona baraza liko nje geti?
Ndyo mkuuMsumbiji?
Nyumba imejengwa kisasa ina
Mastr bedroom 1
Single rooms 2
Sitting room kubwa ya kisasa
Dinning room
Jiko&store
Public toilet 2
Full tilest
Umeme upo
Nyumba ina fensi
0656 698232
Eneo la kiwanja 26/24
Mkuu hamna shda yyte n vzur ukaja ukajiridhisha kisheria ili kutoa hofu mkuu bt kiuhalisia hamna tatzoKuna shida gani CHANIKA? nimeona na mwingine hapo juu anauza nyuma,au kuna bomoabomoa Fulani wame I foresee
Karibun wakuuMkuu hamna shda yyte n vzur ukaja ukajiridhisha kisheria ili kutoa hofu mkuu bt kiuhalisia hamna tatzo
Nyumba bado ipo wakuu karibunMemory card imejaa nini mkuu,mbona unapiga picha kama unaogopa au umevizia wenyewe hawapo ndio unapiga hizo picha kwa hofu wasije kukuta hapo?