M Mfikilwa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2008 Posts 412 Reaction score 124 May 29, 2018 #1 Nyumba kubwa Vyumba vya kulala 4 3 choo ndani, 1 choo nje, Sebule , jiko na sehemu ya kulia. Nyumba ndogo Vyumba vya kulala 2 2 choo ndani 1 choo nje Sebule Bei ya kupanga milioni 1 kwa zote mbili kwenye eneo moja.
Nyumba kubwa Vyumba vya kulala 4 3 choo ndani, 1 choo nje, Sebule , jiko na sehemu ya kulia. Nyumba ndogo Vyumba vya kulala 2 2 choo ndani 1 choo nje Sebule Bei ya kupanga milioni 1 kwa zote mbili kwenye eneo moja.
nasssen JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 489 Reaction score 537 May 30, 2018 #2 Hiyo ndogo pekeyake sh. ngapi mkuu?
Examiner JF-Expert Member Joined Apr 22, 2018 Posts 584 Reaction score 324 Jun 1, 2018 #3 Million moja Kwa mwezi au mwaka mkuu
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,997 Reaction score 10,760 Jun 1, 2018 #4 Milioni kwa saa, siku moja, juma moja,mwezi mmoja, mwaka mmoja,.......????
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,072 Reaction score 16,624 Jun 1, 2018 #5 Million moja dollar au Tsh?
mtu watu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,123 Reaction score 1,617 Jun 2, 2018 #6 Nyumba ya!! Ndiyo nini?
911sep11 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,469 Reaction score 4,310 Jun 2, 2018 #7 nadhani itakuwa per month cha kufanya unajiunga na mwenzako mnashea gharama unampa nyumba ndogo ya uwani mnacalculate gharama mnaeshea kwa mwezi maisha yanaendelea
nadhani itakuwa per month cha kufanya unajiunga na mwenzako mnashea gharama unampa nyumba ndogo ya uwani mnacalculate gharama mnaeshea kwa mwezi maisha yanaendelea