UPDATED 15th MAY
NYUMBA BADO IPO NI MIL 40 TU CHANGAMKA
Funguka,weka bei hapa,kama unafanya udalali bila ujanjaujanja hauna haja ya kuficha!!
Ni nyumba ya kisasa kabisa, iko kitunda/kipunguni karibu na moshi bar. Ina sebule ya kupumzika, sehemu ya kulia chakula, vyumba vitatu vya kulala, kimoja kikiwa na choo na bafu (master bed room) na stoo.
Imepigwa plaster nje na ndani, imewekwa tiles pamoja, ceiling board (qypsum), frame za mirango na madirisha. Bado kufuwekwa milango, madirisha na rangi tu.
Bei ni maelewano.
Wasiliana na paulo kwa namba 0715634825, au 0755634825
kwa mnaojua kuestimate nyumba kama hii inaenda kama shilingi ngapi,sitaki kusumbua vicredit vyangu kny simu...nataka kujua kama ninafford ninegotiate au si afford nisepe...
Moshi bar ni kituo cha mabasi/centre haipakani na bar kama unavyofikiria.Nyumba nimeipenda ila tatizo ni hapo kwenye red, watoto watasoma kweli kwa kelele za BAr?
Hiyo nyumba kwanza value kiwanja maeneno ya Kipunguni ni kiasi gani say labda 20m , halafu nyumba kweli imetulia sana na inaelekea bado sio kubwa sana weka kama another 20m za kufanya finishing nzuri. nikimaanisha milango na madirisha na vikolomwezo vingine. then na nyumba yenyewe kwa jinsi ilivo inaweza kurange between 150m to 200m usicheze na kujenga bwana !
Haiko kwenye mpango wa kubomolewa. Ningefurahi kama ingekua kwenye mpango huo, maana sasa hivi ningekua najiandaa kuvuta changu mapema. Watu wanalipwa pesa nzuri sana. Usiwe na wasi wasiKipunguni huko kuna watu wanahamaishwa kwa ajili ya kupitisha bomba la gesi.hiyo nyumba haijapitiwa na mkasi wa kuvunjwa kweli usije ingiza watu hasara?
Usiogope, hii ni nyumba ya bei rahisi kama nilivyosema awali. Piga simu au text (SMS) kuuliza ni bure. Karibuasante,duh hio bei siiwezi....hivi hamna vinyumba vya milion kumi hadi ishrini.?.....:love:
Hiyo nyumba kwanza value kiwanja maeneno ya Kipunguni ni kiasi gani say labda 20m , halafu nyumba kweli imetulia sana na inaelekea bado sio kubwa sana weka kama another 20m za kufanya finishing nzuri. nikimaanisha milango na madirisha na vikolomwezo vingine. then na nyumba yenyewe kwa jinsi ilivo inaweza kurange between 150m to 200m usicheze na kujenga bwana !
Usiogope, hii ni nyumba ya bei rahisi kama nilivyosema awali. Piga simu au text (SMS) kuuliza ni bure. Karibu
Mkuu usimtishe Jestina bana
Mkuu usiwatishe watu. Ni kweli inahitaji kama 20m kukamilika.Hii nyumba haifiki hata 100m ikikamilika, katika ubora wa juu kabisa, pamoja na ukuta na gate.Hiyo nyumba kwanza value kiwanja maeneno ya Kipunguni ni kiasi gani say labda 20m , halafu nyumba kweli imetulia sana na inaelekea bado sio kubwa sana weka kama another 20m za kufanya finishing nzuri. nikimaanisha milango na madirisha na vikolomwezo vingine. then na nyumba yenyewe kwa jinsi ilivo inaweza kurange between 150m to 200m usicheze na kujenga bwana !
Unajua wengine ukishaweka bei hawatanunua, kwa sababu wanataka wanunue let say kwa mil 80 (Siyo bei yake) halafu wakatambe mtaani kuwa wamenunua nyumba ya mil 200. Ndo maana tunaogopa kuanika bei hapa. Bei ya kuuza ni siri kati ya muuzaji na mnunuzi. Jitose tu mzee, ulizamkuu mbona unasita kutaja hio bei rahisi hapa?:embarrassed1: