Nyumba vyumba Viwili vya Kulala_ Mbezibeach

Nyumba vyumba Viwili vya Kulala_ Mbezibeach

Joined
Sep 25, 2016
Posts
76
Reaction score
21
Mahali: Mbezibeach Tangibovu
Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6.
N.B: Malipo ya Mwezi mmoja kwa dalali ( 250,000 )
Mawasiliano: 0686 648630

Vyumba 2 vya Kulala, Sebule, Jiko ndani na choo ndani cha public.
Ndani ya fensi geti, Umeme luku wawili, Maji dawasa masaa 24 Kuchangia bill, parking ipo, Karibu na kituo cha daladala tangibovu (dakika tatu kwa mguu).
20211101_110437.jpg
20211101_110517.jpg
20211101_110130.jpg
20211101_110211.jpg
20211101_110320.jpg
20211101_110201.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom