NYUMBA VINAPANGISHWA.

nje na mazingira please picha
 
Kha! Nyumba ni nzuri ila huto tu vyumba ni tudogo sana. Yani hapo hata mtu mwenye funiture ya vigoda na stuli bado hatoweza kupata nafasi ya kuviweka...
Raha ya kitu ni kusogea na kuona ww mwenyewe Na sio kuangalia Picha na kuridhika mm sina ada ya kukupereka labda ukitaka kuichukua ndo mambo ya mwezi moja utahusika.
 
Raha ya kitu ni kusogea na kuona ww mwenyewe Na sio kuangalia Picha na kuridhika mm sina ada ya kukupereka labda ukitaka kuichukua ndo mambo ya mwezi moja utahusika.
Sasa umeweka picha za nini?
 
Tatizo Ni hapo tu kukaa na mwenye Nyumba hawaishiwagi gubu Hawa
 
Karne ya 21 Utaishije na mwenye nyumba bwana? maana hata ukikohoa utakuwa unajiuliza sijui ninekohoa inavyotakiwa au nimemkwaza mwenye numba?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…