Fundi umeme
Senior Member
- Jun 17, 2016
- 116
- 24
Ni kubwa ila hailipi.Chukua 50 mkuu
Choo cha nje ila Mpangaji ni ww tu na mwenye nyumba so sio mazingira ya kiswazi.Ni self contained au choo cha nje cha kushea?
Soma kwa undani kama nimeandikaje ndo ukosoe.Nyumba Inapangishwa
Au Vyumba vinapangishwa.
Rekebisha heading...!
Heading yako inasema hivii:Soma kwa undani kama nimeandikaje ndo ukosoe.
Usawa mgumu huuNi kubwa ila hailipi.
Kubali kukosolewa mkuuSoma kwa undani kama nimeandikaje ndo ukosoe.