Nyumba (Unfinished) Inauzwa

Nyumba (Unfinished) Inauzwa

SONGEAKWETU

Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
18
Reaction score
13
Wandugu
Nauza Nyumba ambayo haijakamilika pichani
Ipo Madale,Dar es Salaam
Eneo la Kiwanja ni Square Meter 1103,ina Vyumba 4 vinavyojitegemea kwa Bafu na Vyoo vya Ndani,Study Room,VIP Lounge,Sitting Room,Dinning nk.Umeme ni nguzo moja tu kuvuta na process zimeshafanyika.
Ina Hati
Bei ni Ml.120
0654 99 83 26
Karibuni
 

Attachments

  • 1443504120330.jpg
    1443504120330.jpg
    349.5 KB · Views: 315
  • 1443504185094.jpg
    1443504185094.jpg
    468.4 KB · Views: 292
ulikuwa unakimbilia kujenga ghorofa oña sasa limekushinda hahahaha
 
Ndugu Sistah hapo juu sijashindwa kumalizia.Ukiangalia hapo kama una utaalamu na mambo ya Ujenzi almost Asilimia 95 limeshakamilika mpaka kwenye kuezeka.Nikiweka Ml.10 tu hapo naezeka na kuezeka maana mimi mbao za ujenzi wa nyumba zangu huwa nanunua Mafinga hivyo nikiagiza za Ml.1.8 za 2*2 na 2*4 kwa bei ya Mafinga shughuli imeisha.
Nauza kwa sababu nilinunua kiwanja nia ilikuwa nimjenge binadamu mmoja lakini mkataba nae umeisha hivyo nimeamua kuuza😆😆😆
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom