Mwanza sales
Senior Member
- Nov 17, 2015
- 193
- 87
ni wilaya gani, ni umbali gani mpaka mwanza mjini, na uelekeo gani toka Mwanza mjini???
Ni wilaya ya ilemela,barabara ya kwenda kisesa au magu ukipita stand ya igoma ni takribani km 4 ukiwa unaenda kisesa
Ahsante kwa taarifa. Ingekuwa karibu na maeneo ya Igoma tungefanya biashara.
Kwanini iuzwe mil 3,kiwanja bei gani,jengo lenyewe bei gani
?
Mhh kwa iyo mwanza maisha ni rahisi hivi ?
Nyumba 9 m aseh ntakuja wekeza mwanza sasa
Au iyo nyumba inamgogoro mkuu? Mana mhh
Umbali kutoka barabara kuu ya Mwanza Musoma?