Inatakiwa uwe na moyo wa mwendawazimu kuandika maneno hayoHiyo bei naona ni sawa tu ukilinganisha na eneo lenyewe. Kwanza ni ghali ilitakiwa walau Tsh 25,000,000/-
mbagala mkuu karibu na uwanja wa Azam Fc , una swali linginie?Mbande ndio wapi? Malawi?
Hiyo bei naona ni sawa tu ukilinganisha na eneo lenyewe. Kwanza ni ghali ilitakiwa walau Tsh 25,000,000/-
Tuambie mkuu huko Mbande ndio kijiji gani,mbona mnatupa shida jamani weka na viji nyama kidogo ueleweke.
Samahani mkuu, nyumba ipo wilaya ya Temeke, mbagala chamanzi. eneo ni nzuri na lina nyumba nyingi na tayari watu wa savey wamepita .Tuambie mkuu huko Mbande ndio kijiji gani,mbona mnatupa shida jamani weka na viji nyama kidogo ueleweke.
mbagala mkuu karibu na uwanja wa Azam Fc , una swali linginie?
Mbande ndio wapi? Malawi?
Tarehe 30 /06/2012 ndiyo siku ya mwisho kuuza nyumba hii, kama mtu anaihitaji ahakikishe anaipata kabla ya tarehe hiyo ikifika tarehe hiyo mwenye nyumba atabadili mawazo ya kuiuza. nashukuru kwa wadau waliopiga cm na wengine nimewapeleka wameona na wengi wameahidi kuja kuilipia kabla ya tarehe hiyo . fanyani hima wakuu.