Nyumba nzima kwa 180,000/=

Nyumba nzima kwa 180,000/=

lelo2387

Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
33
Reaction score
2
Nyumba nzima inapangishwa kihonda Morogoro mkabala na IDIVA
3bedroom
Kitchen
Sitting & dinning room.
Choo ndani
Maji + Umeme

Haina udalali katika ulipaji kodi. Pango kwa miezi 6

0658598946
0754598946
 
Nyumba nzima inapangishwa kihonda Morogoro mkabala na IDIVA
3bedroom
Kitchen
Sitting & dinning room.
Choo ndani
Maji + Umeme

Haina udalali katika ulipaji kodi. Pango kwa miezi 6

0658598946
0754598946
Duuuu.
Idiva nyumba imefika 180k?
Ile barabara ya kupandisha kuja barabara kubwa mvua ikinyesha ni maji ya kiuno so ni lazima uzungukie kule nyuma serikali za mita then ndio upandishe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom