Nyumba nyumba nyumba za kupanga

Nyumba nyumba nyumba za kupanga

Kijanakijana

Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
30
Reaction score
2
No 2 apartment type
chumba kimoja cha kulala futi 16 kwa 16,chumba cha pili cha kulala ukubwa sawa na cha kwanza,master futi 16 kwa 28,jiko la ndani,choo na bafu la ndani,maji ya dawasco yanatoka mara moja kwa wiki,tank la lita 1000 lipo limejengewa juu,umeme wa luku yako mwenyewe,vyumba vyote vina feni ambazo ni mpya na zinafanya kazi vizuri,nyumba ni ya kuhamia haihitaji kupigwa rangi,yaani ni safi.nyumba zinazozunguka zote ni apartment type.mazingira tulivu sana hakuna vurugu kabisaaa,sweet home.
Bei ni sh 300,000 kwa mwezi bila umeme wala maji kwani hayo ni matumizi ya mtu binafsi.kodi inatakiwa ni mwaka.kumbuka charge ya broker kodi ya mwezi mmoja.jumla ni sh 3,900,000 pamoja na dalali.eneo ni resort kimara dakika 15 kwa mguu toka barabarani.gari inafika mpaka mlangoni.nyumba hii ukilipia unaingia hapo hapo.

No 3
nyumba kubwa ya familia.chumba chumba sebule kubwa na jiko na store.vyumba vyote ni vikubwa kwa kufanana na mahitaji husika.choo na bafu ni kimoja lakini chumba kikubwa na kimesakafiwa kote tiles mpya na sinki jipya,umeme wa luku ,kuna bomba la dawasco na ratiba ya maji ni kutoka mara moja kwa wiki,kuna kisima kikubwa kipya kwa ajili ya kuhifadhia maji,dakika 20 kwa mguu toka morogoro road.ipo resort.kodi ni sh.250,0000 kwa mwaka.kumbuka charge ya broker ya mwezi mmoja.jumla ni sh.3,250,000 kwa mwaka pamoja na dalali.nyumba hii ukilipia mwezi huu unaingia trh 1 august mwaka huu.

No4.
Nyumba chumba na sebule.vyumba vikubwa futi 14 kwa 14.choo na bafu na jiko liko vtote ndani kwa ndani.ni apartment type.maji ya dawasco mara moja kwa wiki na kisima cha kuhifadhia maji kipo.umeme wa kujitegemea wa luku.mwendo wa kutembea kwa mguu dk 20.gari inafika mpaka nyumbani.ipo kimara resort.bei ni sh.150,000 kwa mwezi,kodi ya mwaka bila kusahau charge ya dalali.jumla ni sh.1,950,000.

Cell no +255652007890

k...a...r...i...b...u...n...i
 
No5
Nyumba ipo Mandela Road eneo la riverside. Mwendo kwa mguu toka main road ni dakika tano.
Chumba cha kulala,dining vyote ni vikubwa na vya kisasa.makabati yamejengewa ndani kote vyumbani pamoja na bafuni na chooni na jikoni. Ndani ya fence na maji ya DAWASCO mara moja kwa wiki,na kuna kisima kikubwa chenye maji. Maji ni free ila umeme ni wa kujinunulia kupitia luku yako peke yako.kodi sh 300,000 kwa mwezi kodi ya mwaka.charge ya dalali kodi ya mwezi mmoja.jumla sh.3,900,000 pamoja na dalali.

No6.
Nyumba ipo Mandela road mwendo wa dk tano toka kwa mguu maeneo ya external. Vyumba viwili vya kulala,jiko,sebule kubwa.nyumba ina a.c.maji ya bomba DAWASCO mara moja kwa wiki na kisima pia kikubwa chenye maji ya kuchimbwa kipo.ipo ndani ya fence.umeme wa luku binafsi.parking ipo ya kutosha.bei 450,000 kodi ya mwaka pamoja na charge ya dalali mwezi mmoja.jumla ni sh.5,850,000

No 7.
Chumba na sebule vyumba vikubwa na vizuri sana.choo na bafu ndani kwa ndani.ndani ya fence.umeme wa luku wa kujitegemea.maji ya dawasco mara moja kwa wiki na kuna pia kisima cha maji ya kuchimbwa kimejaa maji.bei sh.200,000 kwa mwezi kodi miezi sita.
Parking ipo ndani.
 
Kwanini matangazo yako usingeyaweka kwenye uzi mmoja? weka na picha ili kuweza kupata wateja kwa haraka.
 
No 8.
Nyumba kubwa ndani ya fence.
Vyumba vitatu vya kulala na sebule kubwa na dining na parking kubwa.nyumba ya kisasa ina gypsum na tiles kote ndani.madirisha ni ya vioo vya tinted slide.full ac.umeme wa luku na ina kisima cha maji na matenki juu.ipo mahali pa mtaa mwenye utulivu mkubwa.bei ni dola usd 700 kwa mwezi kodi ya mwaka.charge ya dalali kodi ya mwezi mmoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom