Nyumba nne mpya zinapangishwa

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo.

Nyumba inapangishwa.
Zina 2Bedrooms, moja ikiwa ni Master. Luku yakujitegemea, maji, Parking,
Jiko, Sebule kubwa.

Karibu.
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1444300603.444208.jpg
    68.1 KB · Views: 399
  • ImageUploadedByJamiiForums1444300640.756381.jpg
    41 KB · Views: 390
  • ImageUploadedByJamiiForums1444300665.654319.jpg
    37.5 KB · Views: 384
  • ImageUploadedByJamiiForums1444300707.574311.jpg
    67.7 KB · Views: 391
  • ImageUploadedByJamiiForums1444300749.678673.jpg
    64.2 KB · Views: 411
Kwa laki 2 ningeweza amia hata kama ni kesho
 
Hahaaa. Karibu mkuu, jirani waweza kupata kwa bei yako.
 
Bado nafasi unayo ya kuishi Mahala pazuri. Wahi Bukini yaki mapema. Kuona ni Bure.

Karibuni wote.


 
Punguza kodi.
Kodi kama nyumba zpo mbez beach au snza.
Utasubiri sana.
Kodi halali hapo ni 150-250 tu na si zaidi.
 
Endeleeni kung'ang'na na hizo kodi zenu za ajabuajabu wakati mnaona NHC wanashusha majumba kila kukicha,mtarudi kwenye mstari wenyewe na kuanza kutafuta wapangaji kwa kugombania.
 
Turuhusu madalali tulete wateja (sababu tunao)... Tena kwa zaidi ya hiyo hela unayotaka!
 
Kwa wale wote wahitaji tuwasiliane.

Mkuu hizo nyumba zina kasoro gani mpaka leo mwezi wa pili hazijapata wateja, au Unategemea wateja wa JF tu ambao wengi wao ni vijana wenye maisha ya kawaida sana:sly:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…