how much
Masai dada na wasiwasi na hii lugha iliyopo hapo kwenye maelezo itakuwa haikuhusu kabisaaa, ndo matatizo ya kukimbia umande na kuchunga ng'ombe umasaini huko
hahahahahaha haya bwana mkuu
ILA HAKUWA KAWEKA PRICE NILIVYOSEMA NDO AKA EDIT
Masai Dada, si kweli. Kama ningekuwa nime-edit chochote ingeonyesha chini yake "last edited" tarehe mpaka saa! Lakini Tangazo linajieleza lenyewe.
Naunga mkono hoja ya Kifai.
hahahahahaha haya bwana mkuu
ILA HAKUWA KAWEKA PRICE NILIVYOSEMA NDO AKA EDIT
Hahahahaa poa poa masai dada ucjali