Nyumba mbili zinapangishwa kibamba kwa mangi

Nyumba mbili zinapangishwa kibamba kwa mangi

apartments

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
16
Reaction score
1
Nyumba zipo kibamba kwa mangi ni dakika kumi kutoka kituo cha daladala,ni nyumba mbili ambazo hazijawahi kupangisha kwa maana nyengine ni mpya kabisa.

1.Nyumba ya kwanza ina vyumba vitatu,chumba kimoja master,public toilet and bath room,kitchen,store,sitting room and dining room,vibaraza viwili mbele na nyuma. bei 300,000 kwa mwezi

2.Nyumba ya pili ina vyumba viwili kimoja master,public toilet and bath room,sitting room and dinning room,kitchen,vibaraza viwili mbele na nyuma.bei 250,000 kwa mwezi
hakuna dalali piga simu hii uwasiliane moja kwa moja na mwenyenyumba 0767 021 882 or 0787 021 882
 

Attachments

  • 1371221398885.jpg
    1371221398885.jpg
    4.9 KB · Views: 152
  • 1371221419597.jpg
    1371221419597.jpg
    4.7 KB · Views: 153
  • 1371222955594.jpg
    1371222955594.jpg
    5.4 KB · Views: 154
yani mbali kote halafu kodi laki tatu?!
kwa umbali huo angeweka kodi laki na nusu
just opinion
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom