Nyumba mbili zauzwa Kigamboni

Nyumba mbili zauzwa Kigamboni

Pindima

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
347
Reaction score
82
Nyumba mbili zipo kwenye kiwanja kimoja Kigamboni maeneo ya Tuamoyo ni kama km 1 kutoka ferry zinauzwa, nyumba zote ni nzuri na zipo eneo zuri, kiwanja kimepimwa na hati ipo, ni pm kwa mawasiliano zaidi!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom