nasy de jr
Member
- Nov 11, 2016
- 14
- 1
Ina vyumba vitatu ndani na sehemu ya wageni. Chumba cha master kina choo ndani. Ina banda la uani pia lina vyoo viwili, uani pia jiko na store. Nyumba imezingusha uzio bei ni mil 80. Mwisho
kama ni kagera ya bukoba watu wanaogopa tetemekoMagomeni Kagera au?