maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,900 Aug 9, 2016 #2 Picha mkuu ndo kila kitu
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,900 Aug 9, 2016 #3 Ukubwa wa kiwanja chake pamoja na eneo la nyumba ni sq m ngapi mkuu?
britanicca JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 17,177 Reaction score 41,623 Aug 9, 2016 #5 Tungi sehem gan
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,621 Reaction score 43,890 Aug 9, 2016 #6 shalujeff said: Inaazia 90 makubaliano yapo ipo katika eneo zuri sana mjini kabisa nyumba na shule zipo hapo hapo Click to expand... Bei 90mil. kwa hiyo kitu? labda 90 ya kuandika chini.
shalujeff said: Inaazia 90 makubaliano yapo ipo katika eneo zuri sana mjini kabisa nyumba na shule zipo hapo hapo Click to expand... Bei 90mil. kwa hiyo kitu? labda 90 ya kuandika chini.
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,900 Aug 9, 2016 #7 Njoo nikupe vyumba 6 maramba 2 kwa m 30 iliyoko kwenye hiyo hali.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,621 Reaction score 43,890 Aug 9, 2016 #8 maringeni said: Njoo nikupe vyumba 6 maramba 2 kwa m 30 iliyoko kwenye hiyo hali. Click to expand... Mkuu ongezea maelezo yakutosha plus picha.
maringeni said: Njoo nikupe vyumba 6 maramba 2 kwa m 30 iliyoko kwenye hiyo hali. Click to expand... Mkuu ongezea maelezo yakutosha plus picha.