Ipo Mwanza Buswelu, ina chumba cha master kimoja, vyumba viwili vya kulala vya kawaida, choo cha ndani(public toilet), sebule, stoo, jiko, kibaraza. pia ina eneo la kutosha ambalo laweza kufaa kwa shughuli kama egesho la magari, ufugaji hata ujenzi.
KIASI: milioni 30 (maelewano yanaruhusiwa).
MAWASILIANO: phone: 0763309707
email: ambrosemapande@gmail.com
Note: 80% ya ujenzi imekamilika
kuwa huru tuwasiliane kwa kiasi ulichonacho tutaongea.