Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

itabila

Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
17
Reaction score
0
Ndugu wana jf kuna nyumba inauzwa jijini dar mitaa ya makonde mbezi kwa atakae hitaji au ana muhitaji tuwasiriane kwa 0766255499
 
weka bei tuone kama kamongo inawezekana.

pia specification za kiwanja
 
Bei n m 350 mazungumzo yanaruhusiwa ukubwa n 1010 sq mtrs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom