haipendezi kwa watu wazima na akili timamu katika ukumbi wa matangazo madogo wakahamisha na kuingiza ukumbi wa jokes, inakera, inaudhi sana hawa haipendezi kabisaaa
haipendezi kwa watu wazima na akili timamu katika ukumbi wa matangazo madogo wakahamisha na kuingiza ukumbi wa jokes, inakera, inaudhi sana hawa haipendezi kabisaaa
Sasa Selina we nyumba unayouziwa ipo wapi.
Si hiyo ndio picha ya ndege,yaani juu ndege wanaweka viota.
Selina amenuna kwa kumuona mama yake ametoka na Kipedo cha Kanga na pozi la picha
Ukubwa ws kiwanja ni vipi? umbali toka main road? ina maji na umeme au? Ya urithi au? kunaingilika kwa gari!? vyumba saba ina maana ilikuwa ya wapangaji na choo ni nje na bafu pia? Niko interested nikishajua yote hayo.