Nyumba inauzwa

Mmang'ati

Senior Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
184
Reaction score
49
Nyumba iko salasala Rtd ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master jiko stoo kubwa bafu na toilet za kushare kwa vyumba viwili living room kubwa haijamalizika kama inavyoonekana.200ml call +255658336682/+25586672479.strictly no dalali.

 

Attachments

  • S1240016.JPG
    220.1 KB · Views: 170
Duh hizi bei!!!=%==_€¥

Kweli kaka yaani watu wanakurupuka na bei za ajabu ajabu wakati bei za viwanja na gharama za ujenzi zinajulikana, Labda kwenye foundation za hizo nyumba kuna mgodi wa dhahabu
 
Kweli kaka yaani watu wanakurupuka na bei za ajabu ajabu wakati bei za viwanja na gharama za ujenzi zinajulikana, Labda kwenye foundation za hizo nyumba kuna mgodi wa dhahabu
Jamani hebu tujaribu kumpa ushauri angalau aiuze shilingi ngapi?
 
Hauzi nyumba huyu kaamua kuonyesha tu alipofikia.
 
Jamani hebu tujaribu kumpa ushauri angalau aiuze shilingi ngapi?

Kwanza atoe sababu ya kuiuza... alaf aziclassify hizo amount...

200mil ni nyumba kama hyo iliyoisha kabisa na nafasi ya kutoshaa ipoo
 
Kweli kaka yaani watu wanakurupuka na bei za ajabu ajabu wakati bei za viwanja na gharama za ujenzi zinajulikana, Labda kwenye foundation za hizo nyumba kuna mgodi wa dhahabu

Kumbe naweza uza banda langu nikapata 20m
 
Kuweka uhalisia kwenye bei yako:
Ukubwa wa Uwanja ni kiasi gani?
Barabara ya mtaa
Bei ya kiwanja
Amoung iliyotumika kujenga mpaka hapo (Faida yako - ngapi)
Kwa nini unauza, hati unayo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…